Dimbwi la Damu (en Swahili)

Mtobwa, Ben R. · East African Educational Publishers

Ver Precio
Envío a todo Perú

Reseña del libro

Alipoamua kwenda Kigoma, Joram Kiango alitarajia kupumzika, akiburudishwa na mandhari murua ya Ziwa Tanganyika lakini haikuwa hivyo. Likizo yake ilibadilika ghafla huku maisha yake yakiingia katika utata mkubwa.Katika jitihada za kutatua utata huo, Joram Kiango anakabiliana uso kwa uso na mjumbe wa mauti, mwenye kiu kali cha damu na anayesheheni silaha zote. Mjumbe ambaye yuko tayari kwa lolote; tayari kufa, tayari kuua...

Opiniones del Libro

Opiniones sobre Buscalibre

Ver más opiniones de clientes