Compartir
Viangamizi Vya Mtanduko (en Swahili)
Eddie Ramirez
(Autor)
·
Cari Haus
(Autor)
·
Healthwhys Lifestyle Medicine
· Tapa Blanda
Viangamizi Vya Mtanduko (en Swahili) - Ramirez, Eddie ; Haus, Cari
S/ 92,43
S/ 184,85
Ahorras: S/ 92,43
Elige la lista en la que quieres agregar tu producto o crea una nueva lista
✓ Producto agregado correctamente a la lista de deseos.
Ir a Mis Listas
Origen: Estados Unidos
(Costos de importación incluídos en el precio)
Se enviará desde nuestra bodega entre el
Jueves 18 de Julio y el
Jueves 01 de Agosto.
Lo recibirás en cualquier lugar de Perú entre 2 y 5 días hábiles luego del envío.
Reseña del libro "Viangamizi Vya Mtanduko (en Swahili)"
Hiki ni kijitabu cha kusaidia kuokoa Maisha kilicho na njia rahisi ambazo kila mtu anafaa kujua ili kuboresha kinga yake. Watu wengi wamefariki au hata kuugua kwa muda mrefu kwa kukosa ujumbe huu. Kwa kuanza na njia muhimu zaidi, kitabu hiki kitaorodhesha njia zote, moja baada ya nyingine, ambazo ni rahisi kuzifuata nyumbani . Nyingi ya njia hizi za kuimarisha kinga zilisaidia wanajamii ili kuhakikisha kuwepo kwa asilimia moja pekee ya vifo wakati wa mlipuko wa ugonjwa wa "Spanish flu", mwaka wa 1918. Rekodi hii ni ya kipekee haswa ikizingatiwa kuwa nyingi ya hospitali kubwa zilishuhudia asilimia 30-40 ya vifo wakati wa mkasa huo.Kitabu hiki hakiangazii kupata chanjo, kuvaa barakoa, kujitenga kutoka kwa wanajamii wengine au kutokaribiana katika shughuli za umma . kinaangazia kuhusu mikakati muhimu ambayo iwapo zitatekelezwa, zitachangia pakubwa katika kuimarisha kinga yetu kibinafsi. Tukizingatia kuwa hakuna hakikisho thabithi katika maisha, ni wajibu wa kila mmoja wetu kufanya yote tuwezayo ili kuimarisha kinga zetu. Kwa njia hiyo, tutakua tumejiandaa vilivyo kuzuia virusi na viini vinavyosababisha magonjwa.
- 0% (0)
- 0% (0)
- 0% (0)
- 0% (0)
- 0% (0)
Todos los libros de nuestro catálogo son Originales.
El libro está escrito en Swahili .
La encuadernación de esta edición es Tapa Blanda.
✓ Producto agregado correctamente al carro, Ir a Pagar.